Kikao cha Kamati ya Utendaji ya Klabu za Ligi Daralaja la Kwanza {FDL], kilichoketi leo Spice Hotel, Dar es salaam, kimemsimamisha kazi Mwenyekiti wake Yusuph Kulunge kujihusisha na masuala ya umoja huo mpaka itakavyoamriwa vinginevyo na mkutano wa viongozi wote wa klabu za FDL.
Saturday, July 4, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment