Tuesday, July 14, 2015

KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr,amegeuka kuwa mbogo kwa wachezaji wake kwa kuwataka kuachana na soka la kizamani (kucheza kivivu na kutegeana) na badala yake ‘kukaza mwanzo mwisho kwa kasi ile ile mpaka kieleweke’.
Katika mazoezi ya timu hiyo yanayoendelea kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Sebastian Kolowa,Magamba, wilayani hapa, Mwingereza huyo amewataka wachezaji wake kuongeza spidi wanapokuwa uwanjani, iwe wanapotafuta ushindi hata pale wanapokuwa mbele dhidi ya timu pinzani.
Jana mazoezi ya timu hiyo yalianza saa mbili asubuhi na kumalizika saa tano ambapo kocha huyo akisaidiana na wasaidizi wake, Suleimani Matola, kocha wa viungo, Dusan Momcilovic na wa makipa, Iddi Salim ambapo kila mmoja alikuwa akiwajibika vilivyo.
Chanzo:Bingwa.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video