KCCA YAIFUMUA ADAM CITY KOMBE LA KAGAME Miamba ya kandanda ya Uganda, KCCA imefanikiwa kushinda 1-0 dhidi ya Adam City katika mechi ya kombe la Kagame iliyopigwa leo uwanja wa Karume, Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment