Golikipa wa Arsenal, Wojciech Szczesny imeandikwa na gazeti la udaku la The Sun on Monday kwamba ameonekana kwenye video moja akivuta gesi kwenye mtungi yaani kama vile anapiga 'shisha' .
Je, alikuwa anapuliza tu mtungi wa gesi? kuna stori ya kuiangalia ....
Kipa huyu anajulikana kwa tabia yake ya uvutaji wa sigara ambapo msimu uliopita, siku ya mwaka mpya, alifumwa akivuta sigara bafuni kwenye uwanja wa St Mary baada ya kipigo kutoka kwa Southampton.
Kutokana na tukio hilo, klabu ya Arsenal ilimpiga faini Szczesny ya paundi Elfu 20 (£20,0000).
Ripoti ya The Sun hii hapa chini:
The Gooners keeper was filmed on a mobile phone with a red balloon in his mouth, seemingly taking in nitrous oxide at a party.
One fan who saw the film said: “He was surrounded by girls who were all doing it. He got passed a balloon. He inhaled from it and was laughing and enjoying it. As an Arsenal fan, I am very disappointed.”
Taarifa hii mbaya imekuja siku chache tu baada ya Szczesny kumchumbia mpenzi wake wa siku nyingi, Marina Luczenko.
Szczesny, ambaye anapanga harusi yake inaonekana namba yake imechukuliwa na Petr Cech aliyesajiliwa kutoka Chelsea.
Angalia picha chini ya Wojciech Szczesny akivuta gesi kwenye mtungi:
0 comments:
Post a Comment