Thursday, July 30, 2015

Nyota aliyevunja rekodi ya usajili ya Manchester United, Angel Di Maria anaonekana kukaribia kujiunga na PSG.
Winga huyo wa Argentina mwenye umri wa miaka 27 hakuwepo katika kikosi cha Man United kilichofanya ziara ya maandalizi ya msimu mpya nchini Marekani, huku Louis van Gaal akidai kwamba hajui lolote kuhusu alipo Di Maria.
Van Gaal alizungumza hayo na waandishi wa habari baada ya United kufungwa 2-0 na PSG alfajiri ya leo.
Mwandishi wa talkSPORT,  Alan Brazil ameleta kali baada ya ku-post tangazo huko Manchester akitangaza kumtafuta Di Maria akitania kwamba amepotea.
Jamaa huyo amesema atakayemuona Di Maria popote pale alipo ampigie simu Van Gaal kwa namba inayoonekana pichani chini na atapewa zawadi ya paundi milioni 30.


0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video