Wednesday, July 1, 2015

Dirisha la usajli wa majira ya kiangazi limefunguliwa rasmi leo na Liverpool wamethibitisha usajili wao wa sita kwa kumsainisha Nathaniel Clyne kutoka Southampton.
Japokuwa kumekuwa na ongezeko kubwa la wachezaji wanaojiunga na timu hiyo lakini bado Liverpool wamesajili  Clyne kutoka St Mary.
Inakadiriwa kuwa amesajiliwa kwa kiasi kinachofikia pauni milioni 12, Liverpool wamemchukua mlinzi huyo wa kulia wa ubora wa hali ya juu.
Ujio wa Clyne unafungua mlango wa kuondokea kwa Glen Johnson na inaamika Clyne atakuwa ni chaguo la kwanza akiwa Anfield.
Kwa misimu kadhaa iliyopita Clyne amethibitisha kuwa yeye ni moja kati ya walinzi bora wa kulia kwenye ligi kuu England.
Usajili wake umegusa hisia za wadau mbalimbali wa soka na wameonesha hisia zao kwenye mitandao ya kijamii kwa kuonesha kuunga mkono usajili huo.
Magwiji wengi wameposti kwenye account zao za tweeter wakionesha jinsi gani wamevutiwa na usajili wa beki huyo.
Hizi hapa baadhi ya tweets zao…
Liver 7 Liver 6 Liver 5 Liver 4 Liver 3 Liver 2 Liver 1

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video