Shabiki akiruka karate kumshambulia mpinzani wake
ASUBUHI nili-posti stori kwamba mashabiki wa Leeds United walivamiwa na mashabiki wa Eintracht Frankfurt baada ya kipyenga cha mwisho kupulizwa katika mechi ya kirafiki ya maandalizi ya msimu uliyopigwa jana nchini Australia.

Video ya tukio hilo
Polisi wa Australia wamewatupia lawama mashabiki kutoka Ujerumani kwa kuanzisha fujo hizo ambao ziliwaacha mashabiki wengi wakivuja damu kutokana na vipigo na watu 25 wameshatiwa mbaroni.
Ripoti zinasema karibia mashabiki 100 wa Frankfurt walifanya fujo hizo wakati timu yao ikishinda 2-1 dhidi ya Leeds.
Polisi wakijitahidi kutuliza ghasia kwa kuwatawanya mashabiki
Shabiki huyu wa Leeds United alikuwa mkong'oto wa nguvu na kuvuja damu
Mashabiki 15 wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi
Hapa mwendo wa kuchapana mangumi
Shabiki mmoja akimnyuka nguma ya maana mpinzani wake
Unaziweza?
0 comments:
Post a Comment