HII NI KUMBUKUMBU YA MAFANIKIO YA VAN PERSIE MANCHESTER UNITED Robin van Persie anaonekana mwenye furaha kubwa ndani ya Uturuki na jana alipigwa picha akiwa na timu ya vijana ya Fenerbahce. Siku za karibuni, RVP alijiunga na Fenerbahce kwa dau la paundi milioni 4.76 kutokea klabu ya Manchester United. Hapa chini nimekuletea kumbukumbu ya Van Persie alipokuwa Manchester United:
0 comments:
Post a Comment