Sunday, July 12, 2015

 
Petr Cech katika siku yake ya kwanza mazoezini akiwa na klabu ya Arsenal.
Takribani masaa 24 tu tangu kwa mara ya kwanza kabisa amalize mazoezi yake akiwa na klabu yake mpya ya Arsenal, Petr Cech ametangaza namba ya fulana yake atakayokuwa akitinga akiwa langoni.
Bila ya ubishi atakuwa mlinda mlango namba moja kuelekea msimu mpya wa ligi, hivyo basi Cech ameamua kuchagua namba 33 kama namba sahihi kwake akiwa klabuni hapo.
Cech ali-tweet sababu iliyomfanya achague jezi hiyo; 
"Naanza ukurasa mpya nikiwa na umri wa miaka 33 nikiwa nimecheza michezo 333 ya ligi kuu Uingereza...ni chaguo rahisi tu hilo''.
Huku baadaye pia akiongeza: ''Natumaini nitakuwa uti wa mgongo wa timu: mgongo una pingili 33''.
Akipumzika.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video