Andrea Pirlo akisimamia mazoezi ya watoto wa New York
Andrea Pirlo yupo tayari kuanza maisha mapya katika klabu ya New York City baada ya kukamilisha usajili wake kutokea klabu ya Juventus.
Kiungo huyo mwenye miaka 37 aliongea na vyombo vya habari kwa mara ya kwanza jana.
Fundi huyo wa zamani wa Juve na AC Milan alifanya mazoezi jana, huku akiwasimamia wachezaji vijana na kuwafundisha namba ya kupiga mipira iliyokufa.
Pirlo akiwapungia mkono watoto wanaocheza soka New York City
Pirlo anaungana na gwiji wa zamani wa Chelsea, Frank Lampard kuunda safu ya kiungo
Pirlo alikuwa kivutio kwa watoto
0 comments:
Post a Comment