Goli la Philippe Mexes limeiwezesha AC Milan kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya mahasimu wao Inter Milan katika mchezo wa kirafiki uliofanyika huko Shenzhen.
Beki huyo wa kimataifa wa Ufaransa alifunga goli hilo kutokana na kuunganisha kona maridadi iliyochongwa na Giacomo Bonaventura na kuukwamisha mpira huo kimiani.
0 comments:
Post a Comment