Wednesday, July 22, 2015

Liverpool inasajili sana wachezaji hasa ambao wanaocheza namba moja na Balotelli. 
Jana Balotelli alimtetea Raheem baada ya kuhama Liverpool kwenda Manchester city na kuwataka mashabiki wam-sapoti, lakini mashabiki wa Majogoo walimshambulia Balotelli kwenye mtandao wa Twitter.
 Balotelli ameachwa kwenye ziara ya maandalizi ya msimu mpya kwasababu ya kufiwa na baba yake mlezi,  lakini kwasasa yupo katika mazoezi ndani ya uwanja wa Melwood.
Kocha mkuu wa Liverpool, Brendan Rogers alipoulizwa hatma ya Balotelli alisema:
“Mario hayupo kwenye ziara yetu,  lakini anafanya mazoezi kwa bidii na baadhi ya wachezaji uwanjani. Sijui hatima yake iko vipi,  ninavyojua hatma yake ipo mikononi mwake kwa kufanya mazoezi kwa bidii. Lakini najua anafanya kazi kwa bidii kwa ajili ya kujiandaa kwa msimu ujao”
Namba ya Balotelli ipo kwenye ushindani mkubwa baada ya usajili ambao Liverpool wameufanya na ambao wanatarajia kuufanya kwa kutoa ofa ya paundi milioni 32.5  kumsajili Christian Benteke

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video