Baada tetesi nyingi kuhusu wapi ataenda gwiji wa Chelsea hatimaye tetesi hizo zimeisha.
Mchezaji huyo mwenye miaka 37 amesaini mkataba wa miezi 18 ambao una thamani ya $3 million kwa mwaka.
Club mpya ya Didier Drogba ni Montreal Impact ambayo inashiriki ligi ya Marekani.
0 comments:
Post a Comment