Hakika lilikuwa jambo la kujivunia kwa Golikipa kinda wa AC Milan,Gianluigi Donnarumma mwenye miaka 16 kuichezea timu yake dhidi ya miambaya kandanda Duniani, Real Madrid.

Gianluigi Donnarumma
Kwa bahati mbaya bwana mdogo, ameshindwa kuokoa penalti muhimu huko Shanghai, China, Real Madrid ikishinda kwa penalti 10-9 dhidi ya AC Milan baada ya suluhu ndani ya dakika 90.

Kwa ushindi huo, Real Madrid wameibuka mabingwa wa International Champions Cup.
0 comments:
Post a Comment