Sunday, July 26, 2015

Mshambuliaji Radamel Falcao Garcia, aliifungia timu yake mpya ya Chelsea goli katika hatua ya changamoto ya mikwaju ya penati mara baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya PSG katika mechi za kimataifa za kirafiki zinazoendelea nchini Marekani.
Victor Moses aliisawazishia goli Chelsea mara baada ya Zlatan Ibrahimovic kuifungia PSG awali na kuulazimisha mchezo kuamriwa kwa mikwaju ya penati.
Katika mchezo huo Falcao alionekana yuko sharp sana baada ya kuingia sub na kufunga penati ya kwanza ya mchezo kabla ya golikipa wake Thibaut Courtois kufunga penati ya ushindi na kufanya matokeo kuwa ni 6-5.
Jose Mourinho alifanya mabadiliko ya kikosi kizima na kufanikiwa kushinda kwa mara ya kwanza msimu huu nchini Marekani mara baada ya kufungwa mabao 4-2 katika mchezo wa awali.
Katika mchezo huo, Falcao alionekana kuwa fiti na sharp na huenda zikawa ni dalili nzuri kwake na klabu yake ya Chelsea waliomsajili kwa mkopo akitokea Manchester United alikokuwa kwa mkopo pia kutoka Monaco.
Falcao alishindwa kung'aa akiwa Old Trafford msimu uliopita na wengi wanasubiri kuona kama atarudi katika uwezo wake hivi sasa akiwa chini ya Jose Mourinho wa Chelsea.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video