Baada ya tetesi za muda mrefu kuwa Manchester united wanataka kumsajili mchezaji mwingine wa Bayern Munich Thomas Muller kwa dau la Euro milioni 100, hivi sasa zimetupiliwa mbali na CEO wa klabu hiyo.
CEO wa Bayern Munich, Karl-Heinz Rummenigge ambae kwa sasa yupo China aliulizwa kuhusu tetesi za kutakiwa kwa mchezaji huyo ambapo amekanusha na kusema kwamba hilo jaribio lilikua ni kama kutaka “bata avuke bahari akiwa anaruka”, kitu ambacho hakiwezekani.
Manchester wanatafuta straika mwingine.
0 comments:
Post a Comment