Tuesday, July 21, 2015

Mashindano ya magari ya F1 yanahusisha magari yanayoendeshwa kwa kasi kubwa sana. 
Kama unavyojua kasi kubwa kwenye gari ni hatari sana hasa pale ajali inapotokea lakini kwenye F1 hauwezi kuacha kuendesha kwa kasi kubwa kwasababu mwisho wa siku lazima ushinde.
Jules Bianchi dereva wa F1 mwenye miaka 25 amefariki miezi 8 baada ya kupata ajali kwenye mashindano ya Japanese Grand Prix. 
Kwenye ajali ya dereve huyu gari lake liliingia chini ya crane na akiwa kwenye mshindano huko Japan.
Mazishi ya dereva huyu yamehudhuriwa na watu mbalimbali mashuhuri akiwemo bingwa wa mwaka jana Lewis Hamilton. Madereva Pastor Maldonad na Filipe Massa walitokwa na machozi wakati jeneza la Jules Bianchi likipitishwa mbele yao.
2AB8230000000578-3169177-image-m-36_1437475413955
2AB7CC0400000578-3169177-image-a-23_1437474421618

2AB8CDA400000578-3169177-image-a-41_1437476675615

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video