Thursday, July 23, 2015

Nyota wa zamani wa Manchester United na England, David Beckham leo ameonesha Tattoo mpya kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Beckham ameamua kujichora Tattoo hiyo kama kumbukumbu ya msimu wa 1998-99 ambao Manchester United ilishinda makombe matatu 'Treble'.
Mbali na  Tattoo hiyo,  Beckham amechora namba '99' kwenye kidole chake cha mkono wa kushoto.
Kama kuna mtu anataka maelezo ya maamuzi hayo, Beckham ameandika kwamba '99 ulikuwa mwaka mzuri kwangu".
Mbali na kushinda ubingwa wa ligi kuu England mwaka huo, Manchester United ilishinda kombe la FA na ligi ya mabingwa Ulaya, huku Beckham akicheza mechi 55 na kufunga magoli 9.
Angalia picha chini ambayo David Beckham ame-post Instagram:

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video