Tuesday, July 14, 2015

WINGA wa Yanga, Mbrazil Andrey Coutinho, amejikuta akiwa njiapanda juu ya uwezekano wa kupata namba katika kikosi cha kwanza (First Eleven), kutokana na timu hiyo kusheheni rundo la wachezaji wenye vipaji, hali inayompa wakati mgumu mkali huyo wa mguu wa kushoto.
Coutinho, ambaye alizaliwa Januari 12, mwaka 1990 na kukulia kwenye Mji wa Berem, alianza kucheza soka la kulipwa katika klabu ya Paysandu Sports Club, kabla ya kwenda Asia kuendeleza kipaji chake.
Kiungo huyo tayari ameonyesha hofu kubwa ya kupata namba ya kudumu katika kikosi cha Yanga kutokana na nafasi yake anayoicheza ya kiungo wa pembeni wa kushoto kuwa na ushindani mkubwa.
Katika nafasi hiyo hivi sasa kuna wachezaji kama Malimi Busungu, Deus Kaseke, Haruna Niyonzima, Simon Msuva, Geofrey Mwashiuya ambao wameonekana kuaminiwa zaidi na Kocha Hans van der Pluijm.
Chanzo:Bingwa

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video