Sunday, July 26, 2015


 
Chelsea wamefanikiwa kuibuka na ushindi dhidi ya PSG baada ya kufanikiwa kushinda kwa changamoto ya mikwaju ya penati 6-5, katika mchezo wa kuwania 'International Champions Cup' uliopigwa usiku wa kuamkia leo katika dimba la Bank of America Stadium.
Chelsea wamerudi kwa kasi baada ya hapo awali kupokea kipigo cha mabao 4-2 kutoka kwa New York Red Bulls siku ya Jumatano.
Zlatan Ibrahimovic ndiye alikuwa wa kwanza kuona lango la Chelsea baada ya kufunga bao zuri katika dakika ya 25, kabla ya Victor Moses kuisawazishia Chelsea goli mnamo dakika ya 65.
Katika changamoto za mikwaju ta Penati Courtois ndio aliibuka shujaa baada ya kuifungia Chelsea penati nzuri kabisa ya ushindi.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video