Stones (kulia) anawindwa na Chelsea
Chelsea wataongeza dau mpaka paundi milioni 26 kumsajili beki wa Everton, John Stones baada ya ofa yao ya kwanza ya paundi milioni 20 kukataliwa.
Stones watampa Stones jezi namba 6 na katibu mkuu wa Chelsea David Barnard anajipanga kukutana na maafisa wa Everton ili kufanya mazungumzo ya kumsaini mlinzi huyo mwenye miaka 21.
Hata hivyo taarifa zinasema kwamba Everton wanahitaji paundi milioni 30 ili kumuachia Stones, ingawa wanakiri kwamba wanauza chombo cha maana.
0 comments:
Post a Comment