Jezi ya nyumbani
Udhamini huleta raha katika uendeshaji wa klabu za ligi kuu soka Tanzania bara.
Siku chache baada ya kampuni ya madini ya ACACIA kuingia mkataba wa udhamini na klabu ya ligi kuu kutoka Mkoani Shinyanga, Stand United, timu hiyo imeweka hadharani jezi mpya ya nyumbani na ugenini kwa ajili ya msimu ujao.
Jezi hizo zimepigwa nembo ya ACACIA kama zinavyoonekana.
Chaguo la kwanza la Jezi ya ugenini
Chaguo lingine la jezi ya ugenini
0 comments:
Post a Comment