Beki kinda wa Chelsea Tomas Kalas amesaini mkataba wa miaka mitatu na klabu yake.
Beki huyo wa kati ambaye pia anaweza kucheza kama beki wa kulia, hivi karibuni alijiunga kwa mkopo wa muda mrefu na timu ya Middlesbrough.
Tangu ajiunge na mabingwa hao wa EPL msmu uliopita kutoka klabu ya Sigma Olomouc mwaka 2010, Kalas ameichezea Chelsea michezo miwili tu ya ligi kuu dhidi ya Liverpool na Cardiff City.
0 comments:
Post a Comment