Tuesday, July 21, 2015

Mario Balotelli amewataka mashabiki wa Liverpool kumsapoti Raheem Sterling baada ya kuondoka klabuni hapo kujiunga na Manchester City.

Sterling leo amecheza mechi yake ya kwanza katika kikosi cha Man City chini ya Manuel Pellegrini.

Katika mechi hiyo ya kirafiki ya kujiandaa na msimu mpya, Sterling amefunga goli katika sare ya 2-2 ndani ya dakika za kawaida, kabla ya Man City kushinda kwa penalti 5-4.

Muda mfupi baada ya mechi, Super Mario ame-tweet kumpongeza Sterling kwa kuanza vizuri.

Mashabiki wengi wa Liverpool  wanaona Sterling ni msaliti kwasababu ya kulazimisha kuondoka Anfield.

Soma Tweets za Mario hapo chini akiwajibu mashabiki wa Liverpool wenye hasira:




0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video