Mlinzi wa kulia wa Manchester City, Bacary Sagna ameanza mazoezi katika fukwe za bahari mjini Miami akijiwinda na msimu mpya kabla ya kuungana na wenzake.
Sagna ameungana na mke wake Ludivine ambapo licha ya kufanya mazoezi, wanandoa hao wanafurahia maisha wakati huu wa likizo, huku beki huyo wa Man City akichezea mpira kwenye mchanga wa ufukweni.
0 comments:
Post a Comment