AZAM YAIDUNDA 4-2 FRIENDS RANGERS Azam fc imeichapa mabao 4-2 klabu ya Friends Rangers ya Dar es salaam katika mechi ya kirafiki iliyopigwa leo asubuhi uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Magoli ya Azam yamefungwa na Farid Mussa, Kevin Friday, Didier Kavumbagu na Joseph Kimwaga
0 comments:
Post a Comment