Friday, July 31, 2015

HATIMAYE Azam fc warudia walichofanya mwaka 2012 ambapo walitinga fainali ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame, lakini wakatandikwa 2-0 na Yanga katika mechi ya fainali.
Jioni hii Azam wameingia fainali ya Kagame Cup baada ya kuifunga 1-0 KCCA ya Uganda katika mechi ya pili ya nusu fainali.
Goli la Azam limefungwa dakika za jioni na Farid Mussa Malik.
Mechi ya mapema, Gor Mahia ya Kenya imetinga fainali kwa kuifunga 3-1 Al Khartoum ya Sudan.
Taarifa zaidi inakujia.............

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video