Wednesday, July 1, 2015

Kikosi cha timu ya Friends Rangers, kesho asubuhi kinashuka kwenye Uwanja wa Azam Complex, uliopo Chamazi Dar es Salaam, kuvaana na timu ya Azam FC, katika mchezo wakirafiki.
Afisa habari wa klabu hiyo Asha Kigundula alisema kuwa, mchezo huo utafanyika asubuhi kuanzia saa 2, asubuhi.
Kigundula alisema kuwa wameshukuru kupata mechi hiyo ambayo itaendelea kuiweka timu yao katika mazingira mazuri kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi daraja la kwanza.
Alisema kuwa kucheza na timu kama Azam ni sehemu nzuri ya kukipa kikosi chao mazoezi mazuri, kwa sababu Azam ni timu bora na inawachezaji wenye uwezo mkubwa hapa nchini.
Kigundula alisema tayari kikosi chao kimeshacheza mechi mbili za kirafiki, dhidi ya Yanga ambapo ilifungwa mabao 3-2, mchezo uliyofanyika kwenye Uwanja wa Karume, Ilala Dar es Salaam.
Mechi nyingine ambayo Friends Rangers ilicheza na timu ya Mwadui FC, timu hiyo ya Magomeni Kagera ilishinda kwa mabao 2-1.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video