Saturday, July 25, 2015

Arsenal wametoa kipigo cha mbwa mwizi dhidi ya Olympique Lyon baada ya kuichakaza kwa magoli 6-0 katika michuano ya kombe la Emirates.
Olivier Giroud alifungua milango ya magoli kwa Arsenal baada ya kuunganisha mpira wa adhabu ndogo kwa umaridadi uliopigwa na Mesut Ozil mnamo dakika ya 29 na baadaye Oxlade Chamberlain akaongeza la pili dakika ya 34.
Kinda wa timu hiyo Alex Iwobi akaongeza la tatu dakika yaa 35 kabla ya Ramsey kuongeza la nne baadaye mnamo dakika ya 38.
Ozil alipigilia msumari wa tano dakika ya 62 huku Cazorla akimaliza karamu ya magoli kwa Arsenal dakika ya 85.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video