Wanajeshi wa APR ya
Rwanda wamefanikiwa kutinga robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika
Mashariki na kati, maarufu kama Kombe la Kagame baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya jirani zao wa LLB kutoka burundi.
Mechi nyingine Al Shandy
ya Sudan kusini imeibuka kidedea kwa mabao 3-2 dhidi ya Hegeen ya Somalia.
Ushindi huo ni wa tatu kwa APR ambayo
imezishinda Al Shandy, Heegen kabla ya kuimaliza LLB leo ndani ya uwanja
wa Taifa, Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment