Friday, June 26, 2015


Kocha wa makipa wa Yanga, Juma Pondamali (kulia) akiteta jambo na golikipa Ally Mustafa 'Bartez'

Shirikisho la Mpira wa Mpira wa Miguu nchini (TFF) linaviomba vilabu vyote vinavyoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom kuwasilisha jina la kocha wa magolikipa kufikia jumatatu ya tarehe 29 Juni, 2015 katika ofisi za TFF.

TFF imeandaa kozi ya magolikipa hivyo inahitaji kupata jina la kila kocha wa magolikipa ili kuweza kushiriki kwenye kozi hiyo itakayoanza tarehe 13 - 17 Julai, 2015 jijini Dar es salaam.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video