WEST HAM YASAJILI MIDO LA KIFARANSA West Ham wamemsajili kiungo kutoka Ufaransa Dimitri Payet kutoka Marseille kwa mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya zaidi ya pauni milioni 10.
0 comments:
Post a Comment