Monday, June 15, 2015

Kuna picha ya kuvutia imepostiwa kwenye ukurasa wa Arsenal ikimuonesha Arsene Wenger akiwa amevalia T-shirt ya aina yake.
Mwishoni mwa juma lililopita, Wenger alikuwa mjini, Marrakech, Morocco, ambapo kocha huyo wa Gunners alichukua mikoba ya kuifundisha timu moja kwenye mechi ya Hisani.
Wenger ameripotiwa kwamba aliungana na  Didier Drogba, Djibril Cisse, Mamadou Niang na Robert Pires kwenye tukio hilo ambapo kwa pamoja walihudhuria  Marrakech du Rire comedy festival.
Ingawa bado video za tukio hilo hazijapatikana, kuna picha maridadi za Wenger.
Tazama picha ya Arsene Wenger akiwa amevalia T-shirt maridadi


0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video