Tuesday, June 9, 2015

GWIJI wa Barcelona , Xavi Hernandez jana alishiriki kwa mara ya mwisho paredi ya ubingwa akiwa mchezaji wa Barcelona ambapo ameshangilia makombe matatu waliyoshinda msimu huu baada ya kutwaa Uefa Champions League wakiichapa 3-1 Juventus katika mechi ya fainali iliyopigwa Olympiastadio, Mjini Berlin, Ujerumani.
Kuna video moja imekutwa kwenye Camera ikimuonesha Xavi akimsukumu kwa nguvu usoni, mshambuliaji wa Barca,  Neymar wakati wakiwa kwenye basi.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video