Magoli matatu kutoka kwa Ivan Rakitic, Luis Suarez na Neymar yamewapa ushindi wa 3-1 dhidi Juventus katika mechi ya fainali ya Uefa Champions League.
Umekuwa usiku mkubwa kwa Xavi akibeba kombe kwenye mechi yake ya mwisho Barcelona---alikuwa kiungo wa ajabu mno Katalunya.
Tazama namna nyota wa Barcelona walivyoshangilia ubingwa.
0 comments:
Post a Comment