Baada ya kukamilisha usajili
wake kutokea Chelsea, Petr Cech amezungumza kwa mara ya kwanza na waandishi wa
klabu ya Arsenal.
Cech amekiri kwamba, maamuzi
ya kuondoka Chelsea alipodumu kwa miaka 11 hayakuwa rahisi na
ndio magumu zaidi kuwahi kutokea katika maisha yake ya soka.
Cech pia amezungumzia nia yake ya kushinda makombe katika
klabu yake mpya, akisisitiza kwamba uzoefu wake utaongeza kitu cha ziada ndani
ya Arsenal na wataweza kushinda taji la kwanza la ligi kuu England tangu
walipofanya hivyo msimu wa 2003/204.
Tazama Video chini;
0 comments:
Post a Comment