Adidas imekizindua kiatu maalum cha Lionel Messi kwa ajili ya mchezo wa fainali ya Uefa Champions League kati ya timu yake ya Fc Barcelona na Juventus itayopigwa Juni 6 mwaka, Mjini Berlin, Ujerumani.
Messi atakitumia kiatu hicho pia kwenye mashindano ya Copa America
Naomba tumia dakika zako chake kukiona kiatu hicho hapa
0 comments:
Post a Comment