Paul Pogba amekinyuka kizungu kama kawa baada ya Juventus kutandikwa 3-1 na Barcelona kwenye mechi ya fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya iliyocheza jana usiku uwanja wa Olympic, Mjini, Berlin.
Kiungo huyo wa Ufaransa amewapongeza Barcelona kwa ushindi wao, lakini anahisi Juventus hawakutendewa haki na refa kwani walistahili penalti kwatai matokeo yakiwa 1-1.
Alipoulizwa hatima yake ya baadaye, Mfaransa huyo amekataa kuzungumzo lolote zaidi ya kusema maisha yake yapo Juventus kwasasa.
Tazama mahojiano ya Pogba baada ya mechi kumalizika.
0 comments:
Post a Comment