Saturday, June 6, 2015

ILIKUWA mechi kali ya kirafiki jana usiku kati ya Uholanzi na Marekani kwenye uwanja wa  Amsterdam Arena.
Uholanzi walionekana kama watashinda mechi kwani mpaka dakika ya 53 walikuwa mbele kwa magoli 3-1, lakini Marekani walikuja juu na kusawazisha yote na kufunga bao la nne na la ushindi.
Magoli ya  Daniel Williams na Bobby Shou Wood katika dakika  mbili za mwisho yaliipa ushindi Marekani kwa mara ya kwanza kihistoria dhidi ya Uholanzi.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video