Cristiano Ronaldo sio mpenzi sana vya vyombo vya habari na amekuwa akiwakwepa mara kadhaa mapaparazzi, lakini siku za karibuni ameonekana kuwa huru sana kuzungumza ingawa anatumia chaneli zake za Media.
Jana usiku aliifungia Ureno 'Hat-trick' katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Armenia kuwania kufuzu Euro 2016 na baada ya mechi ameposti Video akiwashukuru mashabiki wake kwa kumsapoti kwa mwaka huu mgumu kwake.
Hat-trick ya jana ni ya tatu kwa Ronaldo katika mechi tatu mfululizo, lakini ni tofauti na mpinzani wake Lionel Messi ambaye katika mechi tatu mfululizo za mwisho alizocheza zimempatia mataji matatu.
HAPA CHINI NI VIDEO YA RONALDO AKIWASHUKURU MASHABIKI

0 comments:
Post a Comment