Saturday, June 6, 2015

Ander Herrera yuko mjini Berlin kushuhudia mechi ya fainali ya Uefa Champions League inayopigwa usiku wa leo kuanzia majira ya saa 3:45 kati ya Barcelona na Juventus, lakini ameshiriki kwenye tukio la kibiashara la wadhamini wakubwa wa michezo, Adidas.
Kiungo huyo wa Manchester United amecheza 'Freestyle' na gwiji wa soka, Zinedine Zidane na  mtoto wake Enzo, ambao amekuwa akicheza nao kwenye michezo ya  .freestyle champion Sean Garnier'.
Herrera ameonekana sio mgeni kwenye freestyle, ameonesha ufundi wa kumpasia mpira Zizou kila alipoupata.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video