Saturday, June 27, 2015

(Kushoto kwenda kulia) Daley Blind, Robin van Persie, Andrea Pirlo na Stefan de Vrij wakiwa kwenye bwawa 


Robin van Persie ameungana kula bata na Gwiji wa Italia, Andrea Pirlo na Waholanzi wenzake wawili katika likizo yake mjini Miami, Marekani.
Mshambuliaji huyo wa Manchester United ame-upload picha akiwa na Waholanzi wanzake, Daley Blind na Stefan de Vrij, wakiwa ndani ya bwawa la kuogelea.
RVP ametweet:  'With the lads and THE MAESTRO Pirlo the coolest player around!'

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video