Saturday, June 13, 2015

Geoffrey Massa

UGANDA 'The Cranes' imeitandika 2-0 Botswana katika mechi ya ufunguzi ya kundi D kuwania kufuzu kombe la mataifa ya Afrika (Afcon 2017) iliyopigwa  leo uwanja wa Nelson Mandela, Namboole, mjini Kampala.
Magoli ya Uganda yamefungwa na Geoffrey Massa dakika ya 55' na Mshambuliaji wa zamani wa Azam fc, Brian Umony katika dakika ya 66'.
Uganda waliingia kwenye mechi hii wakipewa nafasi kubwa ya kushinda kutokana na rekodi nzuri ya hivi karibuni hususani mechi za kufuzu.
Kabla ya mechi ya leo Uganda walikuwa wemeshinda mechi 7 kati ya 7 walizocheza za kufuzu katika uwanja wa nyumbani.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video