Arsenal walitumia paundi milioni 16 kuinasa saini ya mshambuliaji wa Manchester United, Danny Welbeck siku ya mwisho ya usajili majira ya kiangazi mwaka jana.
Straika huyo wa kimataifa wa England alitumaini kucheza nafasi yake anayoipenda ya mshambuliaji wa kati katika klabu ya Arsenal, lakini anajikuta mara nyingi akicheza winga.
Takwimu zake za kufunga magoli zimeshuka mno kwani alifunga magoli manne tu katika mechi 25 za ligi kuu alizocheza Emirates msimu uliopita
Magoli hayo ni chini ya nusu ya mabao aliyofunga akiwa Manchester United katika msimu wake wa mwisho akicheza mechi 25 pia.
Angalia takwimu za Welbeck hapa chini;

0 comments:
Post a Comment