Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) usiku wa leo inakabiliana na Misri katika mechi ya kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika (Afcon 2017) itayopigwa uwanja wa Borg El Arab jijini Alexandria.
Mechi ya Stars inaanza majira ya saa mbili usiku kwa saa za Afrika mashariki.
Akiongelea mchezo wa leo, kocha wa Stars, Mart Nooij amesema anashukuru kikosi kimefika salama nchini Misri na kipo katika hali nzuri, vijana wana ari na morali ya hali ya juu, anaamini timu itafanya vizuri katika mchezo huo dhidi ya wenyeji Misri.
Nooij amesema mchezo wa leo ni muhimu kwake, na kikosi chake kitacheza mpira wa kasi na pasi za haraka haraka, huku safu ya ushambuliaji ikihakikisha inatumia vizuri nafasi itakazozipata.
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia naye yupo jijini Alexandria kwa ajili ya kuipa sapoti Taifa Stars.
RATIBA YA MECHI ZOTE ZA LEO KUWANIA KUFUZU AFCON 2017 HII HAPA:
June 14
18:30
? - ?
June 14
17:30
? - ?
June 14
18:00
? - ?
June 14
17:30
? - ?
June 14
20:00
? - ?
June 14
16:00
? - ?
18:30
? - ?
June 14
20:00
? - ?
June 13
June 14
16:00
? - ?
June 14
18:00
? - ?
June 14
17:00
? - ?
0 comments:
Post a Comment