Nahodha wa zamani wa Liverpool, Steven Gerrard jana amewasili Los Angeles, Marekani akiwa na mke wake Alex Curran tayari kuanza maisha mpya ya soka.
Mara baada ya msimu uliopita kumalizika, Gerrard, 34, aliachana na klabu yake aliyokulia na kujiunga na LA Galaxy na anatarajia kucheza mechi yake ya kwanza Julai 11 dhidi ya Club America.
Steven Gerrard akitua Los Angeles
Mke wa Gerrard, Alex amemsindikiza bwana wake...
Mashabiki wakimpokea Gerrard
0 comments:
Post a Comment