Haikuchukua muda mrefu kwa Steven Gerrard kuingia Instagram baada ya Barcelona kushinda 3-1 dhidi ya Juventus katika mechi ya fainali ya Uefa Champions League na kumpongeza mchezaji mwenzake wa zamani, Luis Suarez.
Hapa chini ni ujumbe alioandika Steven Gerrard kwenye akaunti yake ya Instagram akimpongeza Suarez kwa mafanikio
0 comments:
Post a Comment