Kocha mkuu wa Uganda 'The Cranes’, Mserbia Sredojevic Milutin ‘Micho’, ametangaza majina ya wachezaji 18 watakaovaana na timu ya taifa ya Tanzania 'Tiafa Stars' katika mchezo wa hatua ya kwanza ya kuwania kufuzu michuano ya mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN), utakaopigwa kesho Juni 20 katika dimba la Amaan visiwani Zanzibar.
Kikosi kipo hivi;
Kikosi hicho kinaundwa na walinda mlango: James Alitho, Brian Bwete
Mabeki: Hassan Wasswa Mawanda(nahodha), Denis Okot, ,Ochwo Brian, Bakaki Shafiq, Bukenya Deus, Tekkwo Derrick
Viungo: Mugerwa Yasser, Kizito Keziron, Mutyaba Muzamil, Kyeyune Saidi, Miya Farouk, Martin Kizza
Washambuliaji: John Semazi, Kalanda Frank, Ssentongo Robert, Fahad Muhamed Hassan, Erisa Ssekisambu
0 comments:
Post a Comment