Tuesday, June 9, 2015

SIRI ya kutoswa kwa mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Uganda ‘The Cranes’, kitakachopambana na Gambia kwenye mechi ya kimataifa ya kirafiki pamoja na Botswana kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2017), zimevuja.
Okwi ametemwa kwenye kikosi hicho sambamba na mastaa wengine kama Tonny Mawejje, Andrew Mwesigwa, Moses Oloya, Geofrey Baba Kizito, Daniel Sserunkuma na Derrick Tekkwo kutokana na sababu mbalimbali.

Habari za uhakika kutoka Uganda zilisema Okwi ameachwa The Cranes kutokana na kitendo chake cha kushinikiza wachezaji wa timu hiyo wanaocheza soka la kulipwa walipwe kiasi kikubwa cha fedha tofauti na wale wanaokipiga nchini kwao.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video