Saturday, June 6, 2015


WINGA wa Kimataifa wa Simba, Mganda Simon Sserunkuma, ameuomba uongozi wa klabu hiyo umbakize katika kikosi chao kwa miezi sita ili aweze kuwafanyia mambo makubwa msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Sserunkuma alisajiliwa na Simba katika kipindi cha dirisha dogo la Ligi Kuu Tanzania Bara lililofungwa Desemba, mwaka jana, wakiwemo Waganda wengine, Danny Sserunkuma na Jjuuko Murushid.
Habari kutoka ndani ya Simba zimesema kuwa Sserunkuma, ambaye ni kati ya wachezaji watano wa kigeni waliosajiliwa na klabu hiyo, amewahakikishia mabosi wake kwamba atarejesha kiwango chake na kuwashushua wanaombeza.
Wachezaji wengine wa kigeni waliopo katika kikosi hicho ni Waganda Emmanuel Okwi na Murushid, huku pia ikielezwa Mkenya, Paul Kiongera anarejeshwa kundini baada ya kutolewa kwa mkopo KCB ya Kenya msimu uliopita, lakini pia Wekundu wa Msimbazi hao wakiwania kumsajili Laudit Mavugo kutoka Burundi, 

Source: Bingwa

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video